Tuesday, February 7, 2017

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI HITIMISHO LA MKUTANO WA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI MJINI DUBAI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Profesa Alicia Giron ambaye ni Profesa na Mtafiti wa uchumi katika Chuo Kikuu cha Mexico (UNAM) wakati wa hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mwezeshaji Susan Monahan wakati wa hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai.
Hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai ukiendelea leo
  Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan wa pili kushoto sambamba na washiriki wengine wakifutilia yaliyokuwa yakiendelea kwenye hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai mapema leo. (PICHA ZOTE NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

No comments:

Post a Comment