Thursday, August 31, 2017

TRUMP AKATAA SULUHUHISHO LA KIDIPLOMASIA KOREA KASKAZINI

Rais wa Marekani, Donald Trump na waziri wake wa ulinzi wametoa kauli zinazotofautiana kuhusu Korea Kaskazini, huku Trump akisema mazungumzo sio jibu la kuondoa wasiwasi uliopo wa makombora yanayorushwa na nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment