Akishikilia silaha yake ya nadharia ya "Amerika kwanza"
rais Donald Trump aliwasili Uswisi kutetea ajenda yake
hiyo ya kiuchumi katika kongamano la kiuchumi ambalo
linasisitiza biashara na ushirikiano wa kimataifa.
Trump aliwasili mjini Zurich kabla ya muda uliopangwa na mara
moja alipanda katika helikopta ya Marekani kwa ajili ya safari
kwenda Davos, ambako kongamano la kiuchumi duniani linafanyika.
Safari hiyo ya takriban dakika 40 ilimchukua Trump akipita katika
mandhari ya nchi iliyofunikwa na barafu , hapa na pale kukiwa
na nyumba , milima iliyovunikwa na theluji pamoja na ziwa
zililoganda barafu.
Wakati rais Trump anatarajiwa kutangaza kwamba Marekani iko wazi kwa ajili ya kufanya biashara , kuhudhuria kwa rais huyo ambaye anaelemea kulinda masoko ya nchi yake katika mkusabyiko huko wa kila mwaka kwa watu mashuhuri , wanasiasa na wafanyabiashara ambao hupendelea biashara huria , amewashitua wengi.
Uamuzi wake wiki hii kutia saini matumizi ya kodi mpya inayoimarisha viwanda vya Marekani imezusha wasi wasi mpya juu ya mwelekeo wake wa siasa za kizalendo zaidi.
"Ninakwenda Davos hivi sasa kuwezesha watu kuwekeza nchini Marekani," Trump alisema jana kabla ya kupanda ndege kwenda barani Ulaya. "Nitawaambia : njoni Marekani. Mna fedha nyingi." Lakini sifikiri kama ni muhimu kwenda, kwasababu wanakuja, wanakuja kwa haraka sana."
Katika maelezo yake katika ukurasa wa Twitter aliyoandika kabla kuondoka Ikulu ya Marekani ya White House Trump alisema, "Uchumi wetu unakua kwa kasi na kwa kila kitu ninachofanya , utaendelea vizuri tu.. nchi yetu hatimaye inashinda tena!"
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May alipoulizwa kuhusu iwapo atazungumza na Trump kuhusu biashara huru , alisema.
"Biashara huru ni mada ambayo niliijadili na rais hapo zamani. Tuna shauku kubwa kwamba tutaweza kufanya hivyo na Marekani wakati tutakapoondoka katika Umoja wa Ulaya. Wanashauku kubwa kwa hilo, na sisi pia tunashauku na tayari tunalifanyia kazi juu ya vipi tutatekeleza hilo".
Waziri wa biashara wa Marekani Wilbur Ross amedai kuwa kodi mpya nchini Marekani kwa vifaa vinavyoagizwa kutoka nje vya nishati ya jua , solar pamoja na mashine kubwa za kufulia zina lenga kupambana na tabia ambazo hazistahili za baadhi ya mataifa na sio kulinda masoko. Pamoja na hayo Ross alikiri kwamba China inaweza kujibu hali hiyo kwa kuweka kodi zake kwa biadhaa za Marekani.
Eneo la Davos lililofunikwa na barafu
Wakati
Trump aliposhuka kutoka katika helikopta hiyo mjini Davos,
aliwaangalia wasaidizi wake ambao walimshika mkono wakati
akitembea katika eneo la kutua na ambalo limejaa theluji hadi
katika gari yake iliyokuwa ikimsubiri.Wakati rais Trump anatarajiwa kutangaza kwamba Marekani iko wazi kwa ajili ya kufanya biashara , kuhudhuria kwa rais huyo ambaye anaelemea kulinda masoko ya nchi yake katika mkusabyiko huko wa kila mwaka kwa watu mashuhuri , wanasiasa na wafanyabiashara ambao hupendelea biashara huria , amewashitua wengi.
Uamuzi wake wiki hii kutia saini matumizi ya kodi mpya inayoimarisha viwanda vya Marekani imezusha wasi wasi mpya juu ya mwelekeo wake wa siasa za kizalendo zaidi.
Rais wa Marekani Donald Trump
Trump atamba"Ninakwenda Davos hivi sasa kuwezesha watu kuwekeza nchini Marekani," Trump alisema jana kabla ya kupanda ndege kwenda barani Ulaya. "Nitawaambia : njoni Marekani. Mna fedha nyingi." Lakini sifikiri kama ni muhimu kwenda, kwasababu wanakuja, wanakuja kwa haraka sana."
Katika maelezo yake katika ukurasa wa Twitter aliyoandika kabla kuondoka Ikulu ya Marekani ya White House Trump alisema, "Uchumi wetu unakua kwa kasi na kwa kila kitu ninachofanya , utaendelea vizuri tu.. nchi yetu hatimaye inashinda tena!"
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May alipoulizwa kuhusu iwapo atazungumza na Trump kuhusu biashara huru , alisema.
"Biashara huru ni mada ambayo niliijadili na rais hapo zamani. Tuna shauku kubwa kwamba tutaweza kufanya hivyo na Marekani wakati tutakapoondoka katika Umoja wa Ulaya. Wanashauku kubwa kwa hilo, na sisi pia tunashauku na tayari tunalifanyia kazi juu ya vipi tutatekeleza hilo".
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May
Waziri
wa fedha wa Marekani Steven Mnuchin aliwasili mjini Davos
kabla ya Trump na kusisitiza kwamba Marekani inaunga mkono
biashara huru.Waziri wa biashara wa Marekani Wilbur Ross amedai kuwa kodi mpya nchini Marekani kwa vifaa vinavyoagizwa kutoka nje vya nishati ya jua , solar pamoja na mashine kubwa za kufulia zina lenga kupambana na tabia ambazo hazistahili za baadhi ya mataifa na sio kulinda masoko. Pamoja na hayo Ross alikiri kwamba China inaweza kujibu hali hiyo kwa kuweka kodi zake kwa biadhaa za Marekani.
No comments:
Post a Comment